SW | EN
Fursa za Ajira na Mafunzo

Jenga Taaluma Yako Pamoja Nasi

HRT SACCOS LTD inatoa mazingira ya kipekee ya kazi yenye kukuza weledi, ubunifu, na ushirikiano. Jiunge na timu yetu inayobadilisha maisha ya wanajamii wetu.

Mazingira Yetu ya Kazi

Kwanini Uchague Kufanya Kazi Nasi?

Tunajenga mazingira yanayomwezesha kila mfanyakazi kutimiza ndoto zake za kitaaluma huku akitoa mchango chanya kwenye maendeleo ya kiuchumi.

Weledi na Ukuaji

Mafunzo endelevu, semina na fursa za kujiendeleza kimasomo na kitaaluma.

Mazingira ya Kujali

Bima ya afya ya uhakika na maslahi shindani yanayothamini mchango wa mfanyakazi.

Usawa na Uwazi

Mchakato wa uajiri wenye uwazi na kutoa fursa sawa bila ubaguzi wa aina yoyote.

Ushirikiano & Umoja

Mazingira tulivu ya kirafiki yenye mshikamano mkubwa na msaada wa kiutendaji.

Mchakato wa Uajiri

Hatua 4 za Kujiunga Nasi

Mchakato wetu ni rahisi, wa kidijitali na unaowezesha ufuatiliaji wa wakati halisi.

1
Tuma Maombi

Jaza fomu ya maombi mtandaoni na ambatanisha CV pamoja na vyeti vyako.

2
Uchambuzi (Shortlist)

Jopo letu hupitia maombi yote na kuwateua waombaji wenye sifa zinazohitajika.

3
Usaili (Interview)

Waliochaguliwa hufanyiwa usaili wa kiweledi wa vitendo au mahojiano ya moja kwa moja.

4
Ofa & Kuanza Kazi

Mshindi hupatiwa ofa rasmi ya ajira na kupokelewa kuanza safari mpya ya kikazi.

Nafasi Zilizo Wazi

Nafasi za Kazi Zinazopatikana Sasa

0 Nafasi Zimepatikana

Hakuna Nafasi za Kazi kwa Sasa

Kwa sasa hakuna nafasi zilizo wazi zinazolingana na utafutaji wako. Tafadhali tembelea ukurasa huu mara kwa mara kwa fursa mpya.

PORTAL YA WAOMBAJI

Tayari Umewasilisha Maombi ya Kazi?

Ingia kwenye akaunti yako kufuatilia hali ya maombi yako, matokeo ya uchambuzi wa awali na ratiba ya usaili kwa uwazi.

×

Uhahiki wa Mwanachama

Tafadhali weka Check Number yako ili kuendelea.

×

Vigezo vya Kujiunga

Tafadhali weka taarifa zako za mshahara ili kuona kama una vigezo vya kujiunga na SACCOS.

Wasiliana Nasi
Mwenyekiti Online
Meneja Online
Afisa TEHAMA Online
Mhasibu Online
Afisa Mikopo Online